nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua jibu mwafaka kukamilisha sentensi zifuatazo.
1. Wanafunzi walikatazwa na bibi kununua ________
(papa,
toa
,pora
,pipi)
2.Baba alimvua __________baharini.
(toa,
pipi,
papa,
pora)
3.Ni bora kununua jogoo ambaye bado ni __________ kuliko aliyekomaa.
(pipi,
papa,
pora,
toa)