previous
try again
check
Jaza nafasi kwa kutumia kiunganishi kinachofaa. Bonyeza jibu sahihi.
1. Alituzwa zawadi
ya kushiriki katika mashindano. (A.ingawa, B.kwa sababu)
2. Tulinunua mavazi ya kike
hatukununua ya kiume. (A.lakini B. pia)
3. Alinunua kalamu
wino. (A.na B. pengine)
4. Babu alikuja jana
akaondoka bila kutuambia. (A.pia B. na)