nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua vivumishi sahihi kukamilisha sentensi kati ya vile ulivyopewa.
1. Mtu __________huwasaidia wengine.
(mzuri,
mbaya)
2. Maji __________huleta magonjwa.
(safi,
machafu)
3. Mti__________ una kivuli.
(ndogo,
mkubwa)
4. Kitambaa__________ kimenunuliwa.
(kizuri,
mzuri)
5. Nguo__________ imefuliwa.
(mwekundu,
nyeupe)