nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jibu maswali yafuatayo kutokana na shairi ulilosomewa,
1. Simu___fikiria yenye matumizi mengi.
(tamba,
pamba)
2. Teknolojia ni pana kama ___
(bahari ,
dunia)
3. Televisheni hutupatia habari za kaunti na ___
(nchi,
dunia)
4. Tunajionea ___katika televisheni.
(vibonzo ,
picha)