nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza pengo kwa kinyume cha kitendo kifaacho.
1. Mama ____ nguo.
A. alianika
B. ataaika
2. Mjomba wangu anapenda ___.
A. kunyamaza
B. kupiga kelele
3. Nyanya ___kwetu jana
A. ataenda
B. alienda
4. Juma___paka yule
A. hampendi
B. anachukia
5. ____Mlima Kenya.
A. Niliushuka
B. Nilitoka