Chagua ndio au la.



1. Unapoamka asubuhi, mzazi wako atakuuliza umeamkaje?.
2. Umeshindaje ni maamkuzi ya asubuhi.
3. Safiri salama hutumika wakati tunaposafiri.
4. Jibu la hujambo ni sijambo.
5. Nilipotoka nyumbani asubuhi, mama aliniaga kwa kuniambia usiku. mwema.