Chagua jibu sahihi ili kujibu maswali yafuatayo.



1. Kipchonge ameishindia nchi yetu nini?___
     
2. Mnamo mwaka___Kipchoge alivunja rekodi huko nchini Japani.
     
3. Bendera ya Kenya ina rangi ngapi?___
     
4. Kila anaposhinda Bendera ya Kenya hupeperushwa uwanjani na wimbo wa___huimbwa.