nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza pengo kwa kutumia yeye au wao
1.
atakula matunda.(yeye, wao)
2.
wanaandika.(yeye, wao)
3.
anaimba wimbo wa taifa.(yeye, wao)
4.
anacheza uwanjani. (yeye, wao)
5.
wanabeba vikapu. (wao, yeye)