nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jibu maswali haya kwa usahihi.
1. Jamba alifyatuka alipoliona ____ kubwa.
(joka,
mnyama)
2. Mbwa wake Jamba ____alipomuona mgeni
(alibweka,
alilia)
3. ____alimshukuru mzee kwa ukarimu wake.
(Jamba,
mama)
4. Mama alikuwa akizikata nyasi kwa kutumia ____
(fyekeo,
kisu)