nyuma
jaribu tena
hakikisha
Andika sentensi hizi katika wingi
1. Mimi ninapalilia.
(Sisi ninapalilia, Sisi tunapalilia)
2. Tunda hili ni bichi
(Matunda haya ni bichi, Matunda haya ni mabichi)
3. Jembe langu
( Majembe yetu, Majembe yangu)
4. Mtoto huyu analia
(Watoto huyu analia, Watoto hawa wanalia)
5. Kitabu changu kimeraruka
(Vitabu vyetu vimeraruka, Vitabu vyao vimeraruka)