nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua jibu sahihi.
1. Amina ni mwanafunzi wa gredi ya____
A. kwanza
B. tatu
2. Muhula wa kwanza huanza mwezi wa___
A. Januari
B. Juni
3. Amina na ndugu yake watawatembelea__
A. wavyele
B.wapendwa
4. Sikukuu ya Mashujaa huwa katika mwezi wa__
A. Oktoba
B. Disemba