Jaza pengo kwa kutumia yule au wale



1. anaandika barua.( wale, yule)
    
2. Mtoto alilia sana usiku.(yule wale)
         
3. Pundawanabeba mizigo mingi.( yule, wale)

4. Mvulanaanatembea.(yule, wale)

5. Waduduwameharibu mimea shambani.(yule, wale)