nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua sentensi sahihi katika umoja
1. Mawakili hawa wamesoma sana
A. Mawakili huyu amesoma sana.
B. Wakili huyu amesoma sana.
2. Madereva wanaendesha magari vizuri.
A.Dereva anaendesha gari vizuri.
B. dereva wanaendesha gari vizuri
3. Waashi wamejenga kuta.
A.Mwashi amejenga ukuta
B. mwashi amejenga kuta
4. Wasanii wanachora picha za kuvutia.
A. Msanii anachora picha ya kuvutia
B. Msanii anachora mapicha ya kuvutia
5.Marubani wanahitaji kupumzika
A. Rubani wanahitaji kupumzika
B. Rubani anahitaji kupumzika