nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua ndio au la.
1. Bi. Aisha ni mamake Johari.
A. Ndio
B. La
2. Rafiki yake Johari alikuwa anaitwa Aisha.
A. Ndio
B. La
3. Johari alianguka chini na akajeruhiwa na mawe.
A. Ndio
B. La
4. Kidonda alichokipata Johari kilifungwa kwa bendeji.
A. Ndio
B. La