Chagua ndio au la.



1. Usalama ni muhimu kwa kusoma na kupata matokeo bora.
2. Iwapo mwanafunzi ameuimia,hakuna haja ya kumfanyia huduma ya kwanza.
3. Tahadhari hufanyiwa ili kuzuia magonjwa.
4. Mwanafunzi hupewa maji ya kuzuia uchungu.
5. Mwanafunzi anapoumia apelekwe katika zahanati.