nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua sentensi itakayotumia alama ya kiulizi
A. Je,wewe una hakikisha aje usalama wako
B. Tuhakikishe usalama kila wakati
A. Ni nini kilichowekelewa juu meza
B. Wekelea kalamu juu ya meza
A. Kula matunda mawili
B. Utakula matunda mangapi
A. Ni nani alichukua mkoba wangu
B. Huu ni mkoba wangu
A. Kiatu kile ni changu
B. Kiatu changu ni gani