nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jibu maswali yanayotokana na ufahamu kwa kuchagua jibu sahihi.
1. Usafi wa mazingira ni kinga dhidi ya___
(maisha,
maradhi)
2. Taka zote ziwekwe katika___
(pipa la taka,
choo)
3. Usafi wa mazingira ukidumishwa___ yatapungua
(magonjwa,
maji)
4. Choo kiwe .
(safi,
chafu)
5. Watu wenye afya hufanya___kwa bidii .
(kazi,
maisha)