Jaza pengo kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu.



1.Damu ya ng’ombe ni (nyekundu nyeupe)
         
2. Nilinunua kalamu inayofanana na makaa.Je, kalamu yangu ni ya rangi gani? (nyeusi nyekundu)
         
3. Unapojeruhiwa, damu hutoka kwenye kidonda. Damu hii ni ya rangi___ (nyeusi nyekundu)
         
4. Nilipika chai kwa kutumia maziwa. Maziwa ni ya rangi__ (nyeusi nyeupe)