nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua agizo utakalolifuata kati ya maagizo mawili yaliyotolewa.
A. Enda nyumbani mapema.
B. Twende tukaibe.
A. Andika kwa hati nadhifu.
B. Rarua daftari au karatasi yako ya breli
A. Watusi wenzako.
B. Mtii mzazi au mlezi wako.
A. Usipige kelele kanisani.
B. Cheza na upige kelele kanisani.
A. Wasaidie maskini.
B. Pora mali ya maskini