nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza pengo kwa kutumia ukanusho unaofaa.
1. Yeye anacheza.
A. Yeye hachezi
B. yeye hakucheza
2. Yeye ananiuzia unga.
A. yeye ananinunulia unga
B.yeye haniuzii unga
3. Wao wanakimbia.
A. Wao hakimbii
B. Wao walikimbia
4. Wao wanalala mchana.
A. Wao wanaamka mchana
B. Wao hawalali mchana
5.Yeye anaandika vizuri.
A. Yeye haandiki vizuri
B.Yeye ameandika vizuri