nyuma
jaribu tena
hakikisha
Mwalimu:Je, utatumia neno gani badala ya lililo kwenye mabano?Bonyeza jibu sahihi.
1. Mto huu unajulikana kuwa na (ngwena) wakubwa.
A. mamba
B. papa
C. samaki
2. Rafiki yangu aliniandikia (waraka).
A. barua
B. shajara
C. kamusi
3. Tuliwasha (televisheni ) ili tutazame vibonzo.
A. runinga
B. rununu
C. redio