nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jibu maswali haya kutokana na kifungu
1. Soko hili liko katika Kaunti ya___
(Mwembeni ,
Kwale)
2. Kwa nini wanabiashara hukata leseni.
(ili waweze kuuza,
ili waweze kununua)
3. Watu wengine huja kutazama bei za___
(gunia,
bidhaa)
4. Utawasikia wafanyibiashara____soko.
(juu ya,
ndani ya )