Jibu maswali haya kwa usahihi



1. ___alikuwa mwanafunzi mlafi.
2. _____ni mtu anayekula kupita kiasi.
3. Mbithe ali___ baada ya kula chakula alichoiba kutoka kwa wanafunzi wenzake.
4. Walimu walimpatia Mbithe ___ baada yake kuzirai.