a) Pigia mstari viambishi ambavyo vimekolezwa wino katika sentensi ulizopewa.

a) Kitabu chake kimepotea. Vitabu vyao vimepotea. b) Mti huu unapendeza. Miti hii inapendeza. c) Tunda tamu litaliwa. Matunda matamu yataliwa. d) Ugonjwa huu utatibika. Magonjwa haya yanatibika. e) Cheti kiliandikwa na mwalimu. Vyeti viliandikwa na walimu. f) Shule itafungwa wiki ijayo. Shule zitafunguliwa g) Jina lililosomwa ni lake. Majina yaliyosomwa ni yao.

b) Je, umegundua nini katika sentensi hizo katika umoja na wingi?

Piga chapa majibu yako kwenye nafasi iliyoachwa. Toa maoni yako.