Ambatanisha mbinu na maelezo kamili kwa kuburura na kuweka kwenye kisaduku
1) Matumizi ya picha kutoa maana ya msamiati |
Kutumia maelezo
|
|
2) Matumizi ya kisawe kutoa maana ya msamiati |
Kuonyesha kifaa halisi
|
|
3) Matumizi ya kifaa halisi kuonyesha maana ya msamiati |
Kutumia picha
|
|
4) Matumizi ya picha kutoa maelezo kuhusu maana ya msamiati. |
Kutumia kisawe
|