a) Soma maneno yaliyo kwenye puto.Je,maneno hayo ni ya lahaja gani? Fanya utafiti mtandaoni ili kupata majibu.

b) Yaandike maneno hayo katika Kiswahili sanifu.

Andika majibu yako katika nafasi iliyoachwa