a) Fafanua tofauti kuu kati ya insha za kiubunifu na insha za kiuamilifu kwa kuzingatia maudhui, mtindo wa uandishi,muundo,mtiririko na matumizi ya lugha
b) Je,utazingatia nini wakati wa kusahihisha insha ya mwanafunzi ili kumpa alama kulingana na uandishi wa insha yake?