Jibu maswali yafuatayo kwa kuchagua jibu sahihi kati za zile ulizopewa.



1. Ni kwa nini mwanafunzi anapaswa kudhibiti kasi yake ya usomaji?
2. Kulingana na mtaala, mwalimu anapaswa kumwelekeza mwanafunzi kufanya nini kuhusu kasi ya usomaji?
3. Ni lipi kati ya yafuatayo linafafanua matamshi bora katika usomaji?
4. Kwa nini ni muhimu kutumia ishara sahihi wakati wa kusoma matini?