Kutokana na kadi maneno ulizopewa, chagua kwa kuburura kadi moja baada ya nyingine hatua za kimsingi za uandishi na kuzitia kwenye kikapu. Mwalimu anapofunza hatua za kimsingi za uandishi, sharti azingatie hatua na mbinu zinazokuza hatua hizo.
maumbo ya herufi
kuchora
kuchora ruwaza
silabi
neno
kukoleza rangi
hati
sentensi
mafungu
aya
imla
Jaribu tena