Ambatanisha maelezo na aina ya kusoma kikamilifu kwa kuburura aina ya kusoma na kuambatanisha na maelezo.
1.Usomaji unaohusu kusoma matini mbalimbali kwa mapana ili kukuza stadi ya kusoma. |
kurambaza /kusoma kwa kulenga dhana
|
|
2. Kusoma kunakoongozwa na lengo la kupitia matini kijuujuu ili kupata habari kimsingi. |
kusoma kwa ufasaha
|
|
3. Ni kuwa na uwezo wa kusoma matini kwa kuzingatia vipengele vya usomaji wa ufasaha kama kasi ifaayo, matamshi bora, kiimbo, matumizi ya ishara) |
kusoma kwa mapana
|
|
4. Mbinu ya kusoma matini kimakini zaidi na kwa nia fulani kama kwa mfano kujibu maswali, kuchambua wahusika, maudhui na dhamira. |
kurashia/kusoma kwa upitiaji upesi
|
|
5. Kusoma matini kunakoelekezwa na nia ya kupata dhana kuu katika matini. |
kusoma kwa ufahamu
|