Chagua ndiyo au la maelezo yaliyo sahihi kulingana na aina ya usomaji uliotajwa.
# Aina ya Usomaji Maelezo Ndiyo La
1 Kusoma kwa ufasaha Usomaji unaohusu kusoma matini mbalimbali kwa mapana ili kukuza stadi ya kusoma.
2 Kusoma kwa kina Usomaji unaohusu kusoma matini mbalimbali kwa mapana ili kukuza stadi ya kusoma.
3 Kusoma kwa ufahamu Mbinu ya kusoma matini kwa makini zaidi kwa nia fulani.
4 Kurambaza/ Kusoma kwa kulenga dhana Kusoma matini kunakoelekezwa na nia ya kupata dhana kuu katika matini.
5 Kurashia/ Kusoma kwa upitiaji upesi Kusoma kunakoongozwa na lengo la kupitia matini kijuujuu ili kupata habari kimsingi.
6 Kusoma kwa mapana Kuwa na uwezo wa kusoma matini kwa kuzingatia vipengele vya usomaji.